Jumanne, 5 Agosti 2014
Picha : Ajali aliypipata Mheshimiwa Aden Rage
MBUNGE WA TABORA MJINI (CCM) ISMAIL ADEN RAGE, AMBAYE PIA NI MJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA, AKIWA AMELAZWA KWENYE HOSPITALI YA RUFAA, DODOMA, JUMATATU AGOSTI 4, 2014. RAGE ALIPATA AJALI ENEO LA CHIGONGWE, NJE KIDOGO YA MANISPAA YA DODOMA, WAKATI AKIELEKEA MJINI HUMO TAYARI KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE MAALUM VINAVYOANZA JUMANNE AGOSTI 5, 2014
Mbunge wa Sikonge mkoani Tabora kupitia CCM, ambaye pia ni Mujumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Said Nkumba, akimjulia hali Rage, hospitalini mjini Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 2014.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni