Jumamosi, 2 Agosti 2014
T.I na mkewe wamjibu Mayweather
Rapa T.I na mke wake Tiny Harris wameyajibu madai yaliyotolewa na Floyd Mayweather Jr.
Kwa mujibu wa TMZ, wawili hao walisema kuwa hawahusiki na shutuma zake.
Hii imekuja majuma kadhaa baada ya T.I kuripotiwa kuwa atapigana na Mayweather mjini Las Vegas.
“Ni matumaini yangu anafurahia. Mungu ambariki”, alisema T.I.
TMZ iliripoti siku ya Alhamisi kuwa Tiny anataka kuzima suala hilo na kumaliza ugomvi na Mayweather.
“Ila wiki hii Tiny alipoulizwa kuwa wote walitaka kumaliza ugomvi – alisema, yuko tayari kuacha kupigana na mwishoni maisha yaendelee.”
Mayweather naye alithibitisha kwenye mtandao kuwa hakueleweka.
Kwa sasa Mayweather anajiandaa kupigana na Marcos Maidana Septemba.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni