Sports and Entertainment

Alhamisi, 18 Septemba 2014

IS BACK,,,JOIN US

Hakuna maoni :
Baada ya mapumziko ya Muda mrefu timu nzima ya Triangle S.F.D Imerudi tena katika awamu nyingine  ikiwa inaundwa na vijana watatu imedhamiria kuliteka soko la habari ili kurahisisha shughuli zake pamoja na kutoa taarifa bora na za kipekee kwa wasomaji wake.



After a long holiday Triangle S.F.D team is back in the second season as it consist of three teenegers with one dream of holding the global market so as to smoothen their issues as well as to enjoy people with up to date news

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni