Sports and Entertainment

Jumanne, 28 Oktoba 2014

Mbongo aaga BBA

Hakuna maoni :
Wiki moja baada ya washiriki Lillian kutoka Nigeria, Esther kutoka Uganda na Sabina kutoka Kenya kutolewa kwenye mjengo huo, Mtanzania Laveda aliyekuwa na mahusiano ya karibu na Permithias pamoja na Mkenya Alusa wametolewa mjengoni baada ya kupigiwa kura.
Laveda anakuwa mshiriki wa sita wa jinsia ya kike kutolewa nje ya jumba la BBA huku Alusa akiwa ni mshiriki wa kwanza wa kiume kutolewa #BBAHotshots.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni