Alhamisi, 4 Desemba 2014
amini usiamini Diamond anampenda Ali Kiba
Diamond platmumz jana baada ya kutua katika mkutano na waandishi pamoja na mashabiki ambao walikua kimya wakimsikiliza ghafla wakalipuka shangwe unajua kwanini? alitaja jina la Msanii ambae kwa sasa ndie mshindani wake katika "game" Ali Kiba‘Tulivyofika Nigeria nilikuwa najiona kama mkiwa,Nikiangalia huku simuoni hata Jaguar,huku siwaoni wasanii wenzangu namtafuta Dimpoz simuoni hata Ally simuoni yaani niko peke yangu’
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni