Jumamosi, 6 Desemba 2014
Chris Brown nae achepuka kwenye "Project"

”Looks like I’m a single lady again” aliandika Karruece akimaanisha kwa sasa amerudi tena sokoni.
Ujumbe wa mwanadada huyo unakuja kufuatia siku za hivi karibuni Chris Brown kunaswa na kamera za mapaparazi akiwatongoza warembo wawili nje ya klabu moja ya usiku sambamba na ushahidi wa picha uliodai kuwa alivunja nao amri ya sita.
Mpaka sasa Sio Chris Brown wala Karruece aliyetangaza rasmi kuvunjika kwa penzi lao.
Wacha Muvi iendelee, huenda labda nao walikuwa kwenye Projekti.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni