Alhamisi, 26 Juni 2014
Taarifa ya kukamatwa kwa Gavana wa Lamu, Kenya kufuatia mauaji mpeketoni
Polisi nchini kenya wamemtia mbaroni gavana wa jimbo la Lamu, Kenya lililokumbwa na mapigano na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 65.
Polisi wanamshika Issa Timamy, kufuatia tuhuma za kuhusika na mashambulizi yaliyotokea Mpeketoni mapema mwezi huu ambapo anatarajiwa kufikishwa mahakamani mjini Mombasa leo.
Baada ya tukio hilo kutokea, Rais Uhuru Kenyatta kupitia hotuba yake kwa wananchi alikana madai kuwa shambulizi hilo ilikuwa la kigaidi lililotekelezwa na kundi la kigaidi la Al shabab na kusema kuwa linahusisha misingi ya kikabila na kisiasa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni