Sports and Entertainment

Jumanne, 22 Julai 2014

Diamond Platnumz aiondoa fasta post inayomkandia Mbaya wake

Hakuna maoni :
katika ukurasa wake wa instagram hii post haipo tena, 
nguli wa muziki wa bongo flava ameamua kutumia busara na akili za ziada alizojaaliwa kuepusha matatizo baada ya kuitoa post iliyokua gumzo na kuweka rekodi ya comment nyingi mtandaoni,,,
Diamond baada ya kugundua watu wengi wapo kwenye mfungo na si vizuri kupigana vijembe hatimae ameamua kuiondoa post hiyo
dimaond

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni