Jumanne, 15 Julai 2014
Mayweather ampa ndinga mpenzi wake
Floyd Mayweather ni mwanamichezo anayeingiza pesa nyingi zaidi duniani kupitia mchezo wa ngumi na udhamini wa makampuni tofauti.
Pia Floyd ni star anayependa kuonyesha matumizi ya pesa zake nyingi kama alivyofanya kwenye siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake ‘ Doralie’ a.k.a Bad Medina.
Flody amemnunulia gari aina ya Phantom Rolls Royce kama zawadi ya birthday yake.
Floyd ameonyesha gari hili la kifahari kwenye instagram na kuandika “I know your birthday is on July 27th but here is an early birthday gift @badmedina. Thank you @fusionluxurymotors for the excellent service
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni