Ijumaa, 1 Agosti 2014
Justine Bieber anasa kwa Mrembo mwingine
Mwimbaji Justin Bieber ameibuka na mrembo huyu ambaye juzi alitawala vichwa vya habari baada ya kugombana hadi kukoswa makonde na muigizajiOrlando Bloom kwa ajili ya mrembo huyo Miranda Kerr,
Bieber ameonekana akila bata kwenye yacht katika eneo la Ibiza na mrembo wa Australia anaefahamika kwa jina la Shanina Shaik.
Shanina Shaik ambaye ni mwanamitindo maarufu alipost baadhi ya picha kwenye Instagram akiwa na Justin Bieber
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni