Bonanza

Sports and Entertainment

Jumapili, 27 Julai 2014

Selfie ya Van Persie yamtia matatizoni muhudumu wa mgahawa

Hakuna maoni :
Robert-Van-Persie-and-the-hotel-worker-Kyson-FordeKatika miezi ya hivi karibuni hasa katika mitandao ya kijamii kumeibuka mtindo wa kupiga uitwao  selfie  - ambapo mtu hutumia camera ya mbele ya simu au digital camera kujipiga picha mwenyewe.

Magazet ya Tanzania leo Julai 27

Hakuna maoni :


Real Madrid wanatisha sana wakiwa na Perez

Hakuna maoni :

Galactico 1: David Beckham, Luis Figo, Ronalo, Zinedine Zidane na Raul Gonzalez mwaka 2004.
Galactico 1: David Beckham, Luis Figo, Ronalo, Zinedine Zidane na Raul Gonzalez mwaka 2004.
Moja ya jambo la ajabu lililoonekana Bernabeu siku ya Jumanne ni pale Real Madrid walipotoa pauni milioni 60 kumsajili James Rodriguez na hivyo kukumbusha mwaka 2003 wakati kiongozi wa michezo Jorge Valdano alipomuambia rais Florentino Perez kuhusu kumsajili nyota wa Sao Paulo Kaka, 21.

Quote Of The Day

Hakuna maoni :
Nothing is enough for the man to whom enough is too little. - Epicurus

Watu Maarufu waliozaliwa tarehe kama ya leo 27 Julai

Hakuna maoni :

Tripple H, WWE, Miaka 44



Donnie Yen, Muigizaji, Miaka 50

Jumamosi, 26 Julai 2014

Ommy Dimpoz ajikanyaga kuhusu bifu lilitoka hisia za watanzania kati ya Diamond na Ali Kiba

Hakuna maoni :

sudan kusini yakabiliwa na njaa

Hakuna maoni :

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea uhaba wa chakula nchini Sudan Kusini kama mbaya zaidi kuwahi kuonekana duniani na kuyataka mataifa ambayo yaliahidi kutoa msaada wa zaidi ya dola millioni 600 kutoa fedha hizo.