Katika miezi ya hivi karibuni hasa katika mitandao ya kijamii kumeibuka mtindo wa kupiga uitwao selfie - ambapo mtu hutumia camera ya mbele ya simu au digital camera kujipiga picha mwenyewe.Jumapili, 27 Julai 2014
Real Madrid wanatisha sana wakiwa na Perez
Moja ya jambo la ajabu lililoonekana Bernabeu siku ya Jumanne ni pale Real Madrid walipotoa pauni milioni 60 kumsajili James Rodriguez na hivyo kukumbusha mwaka 2003 wakati kiongozi wa michezo Jorge Valdano alipomuambia rais Florentino Perez kuhusu kumsajili nyota wa Sao Paulo Kaka, 21.
Watu Maarufu waliozaliwa tarehe kama ya leo 27 Julai

Tripple H, WWE, Miaka 44

Donnie Yen, Muigizaji, Miaka 50
Jumamosi, 26 Julai 2014
sudan kusini yakabiliwa na njaa
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea uhaba wa chakula nchini Sudan Kusini kama mbaya zaidi kuwahi kuonekana duniani na kuyataka mataifa ambayo yaliahidi kutoa msaada wa zaidi ya dola millioni 600 kutoa fedha hizo.
Jisajili kwenye:
Maoni
(
Atom
)



