Ijumaa, 25 Julai 2014
JAJA : Simba Hawaninyimi Usingizi, Owino ampa makavu
STRAIKA wa Yanga Mbrazili, Genilson Santos ‘Jaja’ sasa anaijua vizuri Simba baada ya kusikia maneno mengi kuhusu timu hiyo ambapo ametamka kuwa mechi dhidi yao itampa heshima Tanzania nzima. Lakini beki wa Msimbazi, Joseph Owino amesikia maneno yake akacheka halafu akamjibu.
PEREZ : USAJILI KAMA KAWA, PESA IPO
Rais Los Blancos Florentino Perez amedai kuwa hanampango wa kusitisha kufanya usajili wa mastaa wengine katika kikosi cha Real Madrid msimu huu wa kiangazi.
Henry awatoa ushamba Gunners
Mkongwe wa zamani wa washika bunduki wa jiji la London klabu ya Arsenal Thierry Henry alipata fursa ya kujumuika na kikosi chake zamani ambacho kipo jijini New York kwaajili ya kujifua na kujiweka fiti kwa msimu mpya wa ligi ya Uingereza 2014/2015.
Wakulima Tanga na Morogoro wapata soko Thailand

Wakulima wa mikoa ya Tanga na Morogoro nchini wamepata soko la uhakika la zao la mahindi kufuatia shirika moja la CPP linalosimamiwa na serikali ya Thailand kuingia mkataba na wakulima hao wa kuzalisha mahindi ya njano kufuatia shirika hilo kuhitaji tani zaidi ya milioni 1 kwa mwaka kwa ajili ya kwenda kusindika na kutengeneza vyakula vya mifugo katika nchi za asia.
BARUA YA WAZI KWA DIAMOND PLATNUMZ
Nasibu Abdul ‘Diamond’. Bila shaka utakuwa mzima wa afya njema mdogo wangu. Mimi nipo poa, naendelea na mchakamchaka wa maisha kama kawaida. Leo nimekukumbuka kwa barua.Nikuambie ukweli, barua hii naandika kwa hisia kali sana, nikiwa na lengo la kukushauri jambo jema ambalo litayafanya maisha yako yaendelee kuwa mazuri bila
Mario Mandzukic ajiunga na Atletico Madrid
Mara baada ya klabu ya Atletico Madrid kumtangaza Mario Mandzukic 28, kama mrithi mpya wa nafasi ya Diego Costa 25 aliejiunga na kikosi cha Chelsea, straiker huyo ameibuka na kuwaonya mashabiki klabu hiyo juu ya kulinganishwa kiuwezo na Costa
achomwa moto na kuuliwa kwa wizi

Jeshi la Polisi mkoa wa MARA limemkamata mkazi MMOJA wa kisiwa cha RUKUBA, MASHANJU WAMBURA kwa tuhuma ya kumfunga kamba mikononi na kumchoma moto kijana TAMARA MARWA kwa tuhuma za kuiba shilingi elfu 30.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa MARA PHILIP KALANGI amethibitisha kutokea kwa tukio na kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo.
Kamanda WAMBURA amesema kijana huyo KITAMARA MARWA amepata majeraha makubwa sehemu
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa MARA PHILIP KALANGI amethibitisha kutokea kwa tukio na kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo.
Kamanda WAMBURA amesema kijana huyo KITAMARA MARWA amepata majeraha makubwa sehemu
Jisajili kwenye:
Maoni
(
Atom
)
